THE QUALITIES OF SONS AND DAUGHTERS (1 Corinthians 4:15)
"Any true child of their father, whether a spiritual father in the spirit or in the flesh resembles his/her father, trusts them, honors them, obeys, lives and acts by their word and ways, and will forever know from whom and where they come from"
Receive the grace of sonhood or daughterhood in the name of Jesus!
Jesus Servant Malachi Joseph
SIFA ZA MWANA WA KIUME NA WA KIKE (1 Wakorintho 4:15 )
"Mtoto yeyote wa kweli wa baba yake, awe baba wa kiroho au wa kimwili hufanana na baba yake, humwamini, humheshimu, humtii, huishi na kutenda sawasawa na neno lake na njia zake, na daima hutambua katokea kwa nani na katokea wapi"
Pokea neema ya mwana wa kiume au binti kwa jina la Yesu!
Mtumishi wa Yesu Malachi Joseph