Spiritual Materials Work by Faith
Acts 19:11-12
To receive the power through spiritual materials, you must believe, without faith it is impossible to please God and receive anything. The power that heals or deliver is not the material but the anointing or the power that is spiritually placed on that material by the anointed man, that is why you can only access that power by faith. Watch this video for more insight and understanding on the mystery of spiritual materials brought to you by Jesus Servant Malachi Joseph.

Zana za Kiroho hufanya Kazi Kupitia Imani
Matendo 19:11-12
Kupokea nguvu kupitia zana za kiroho, ni lazima uamini, bila imani huwezi mfurahisha Mungu wala kupokea chochote. Nguvu inayoponya au kufungua sio kile kitu bali ni upako au nguvu iliyowekwa kiroho katika kifaa hicho na Mtu mwenye upako, hii ndio sababu unaweza ipata nguvu au upako huo kwa imani tu. Tazama video hii kwa ufahamu zaidi na uelewa juu ya siri ya zana za kiroho kutoka kwa Mtumishi wa Yesu Malachi Joseph.