Description
Salamu toka kwa Bishop Dr. Manasse DM:
"Karibu sana ENCC - Mji wa Bwana: Mahala Mabaya Yasiporuhusiwa Kuharibu. Karibu katika ibada zenye mdhihirisho na mguso wa Mkono wa Mungu, matendo ya miujiza, ishara na ajabu katika uwepo wa Mungu tukimwabudu katika roho na kweli. Utabarikiwa, utaponywa, utainuliwa, utapata mpenyo, utafunguliwa na kutofautishwa milele."
"Madhabahu Inayonena" Mungu wa Maagano."
Ratiba za ibada: Kila Jumapili saa 3 asubuhi, na Jumatano saa 10 jioni (East Africa Time).
Mahala Tulipo:
Mbezi kwa Msuguri – DSM,
Barabara ya Morogoro, kuelekea ST. Annie Marie Academy,
Kavishe Road
Hebron Media ni media ya Elim New Covenant Church.